Nyumba ya Kisonjo

 

Karibu Kwenye Nyumba ya Gitemi

 

Tunategemea kwamba mtafurahi kusoma maandishi ya Gitemi, na kuonja laadha ya lugha na utamaduni huu. Tovuti hii inalingana na kibɔndɔ (mfuko wa ngozi) kilichojazwa na mavuno. Mavuno haya ni vitabu vya Biblia, maandishi ya kumbukumbu, hadithi,  na muziki, yote kwa lugha ya Gitemi. Baada ya muda tutaongeza kamusi ya Gitemi inayoleta tafsiri za Kiswahili na Kiingereza.

 

Kama una mawazo au maoni yeyote wasiliana nasi. Tunawakaribisha wote wanaojitolea kuongeza kitu kwenye kibɔndɔ hiki.

Ahsante sana!