Kwaya Saayo

'Saayo' maana yake ni 'Amani.' Wametoka kwenye kanisa la KKKT Samunge. Wanapoimba kwa nguvu, utajisikia kufurahi pamoja nao.

Thumbnail image