Kwaya Lukondo

Watu wa FPCT Kisangiro wanaimba nyimbo kuhusu upendo, lakini siyo upendo wa kawaida, ni upendo wa Mungu. Jina hili la 'Lukondo' maana yake kwa Kiswahili ni 'upendo.'

Thumbnail image