Nyimbo za Wanawake

Hapa utasikia nyimbo za wanawake, wanavyoimba kumbembeleza mtoto alale, au wanapolima kwenye makundi, au siku za raha wakati watoto wao wanapooa na kuolewa. 

Thumbnail image