Jina la Yesu

Mwaka 2001, watu walitoka Habari Maalum (Arusha) kurekodi nyimbo za FPCT Digodigo. Ilikuwa mara ya kwanza ya kusambaza nyimbo mpya za amani za kikristo. Kanda ziliuzwa sokoni, na baada ya muda mfupi, nyimbo hizi ziliimbwa na watu wengi. Mashambani, machungani, na kila mahali watu waliwasikia wengine wanavyoimba. Ilikuwa wakati wa raha Sonjo.

Thumbnail image